Mkoa wa Pemba Kusini

Mkoa wa Pemba Kusini mi mojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 74000 .[1]. Uko katika sehemu ya kusini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Mahali pa Pemba Kusini katika Tanzania


Makao makuu ya mkoa yako Chake Chake.

Mkoa una wilaya mbili tu, Mkoani na Chake Chake

Katika Sensa ya Mwaka 2012 mkoa ulikuwa na wakazi wapatao 195,116.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit


 
Mikoa ya Tanzania
 
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi
  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pembaKusini.pdf