Shamiani ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba nchini Tanzania.

Eneo hili ni nyumba za magofu za Waswahili zilizochimbwa kutoka takriban karne ya 14 hadi ya 16[1][2].

Marejeo hariri

  1. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies 14 (2): 306–334. ISSN 0361-7882. doi:10.2307/218047. 
  2. Schacht, J. (1961). "Further Notes on the Staircase Minaret". Ars Orientalis 4: 137–141. ISSN 0571-1371.