Wilaya ya Ngoma inapatikana katika mkoa wa Mashariki nchini Rwanda.

Picha ya ramani ikionesha eneo la wilaya ya Ngoma, Rwanda

Makao makuu yako Kibungo.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ngoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.