Wilaya ya Nyamagana

Manisipaa ya Nyamagana ni wilaya mojawapo kati ya mbili zinazofanya kwa pamoja Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, nyingine ni manisipaa ya Ilemela.

Wilaya za Jiji la Mwanza

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 363,452 waishio humo. [1]

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu 332.. .

Marejeo

hariri
  Kata za Manisipaa ya Nyamagana - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

Buhongwa | Butimba | Igogo | Igoma | Isamilo | Kishili | Luchelele | Lwanhima | Mabatini | Mahina | Mbugani | Mhandu | Mirongo | Mkolani | Mkuyuni | Nyamagana | Nyegezi | Pamba


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyamagana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.