Wilaya ya Nyasa ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma, yenye postikodi namba 57500, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kutokana na maeneo ya wilaya ya Mbinga. Eneo la wilaya hii liko kando ya Ziwa Nyasa.

Malori yanakwama njiani kwenda Mbamba Bay wakati wa mvua (mwaka 2012).

Makao makuu ya wilaya yako Mbamba Bay.

Wakati wa sensa ya mwaka 2012, wilaya ilikuwa na wakazi 146,160. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 191,193 [1].

Tanbihi hariri

  Kata za Wilaya ya Nyasa - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Chiwanda | Kihagara | Kilosa | Kingerikiti | Linga | Liparamba | Lipingo | Lituhi | Liuli | Liwundi | Luhangarasi | Lumeme | Mbaha | Mbambabay | Mipotopoto | Mpepo | Mtipwili | Ngumbo | Tingi | Upolo


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.