Unguja Kaskazini 'A'

Wilaya ya Kaskazini A ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73100[1]. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2].

Mahali pa Kaskazini 'A' (kijani) katika mkoa wa Unguja Kaskazini.

Majimbo ya bunge Edit

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

  • Chaani
  • Kijini
  • Mkwajuni
  • Nungwi

Marejeo Edit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'A' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania  

Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigunda | Kijini | Kikobweni | Kilimani | Kilindi | Kinyasini | Kisongoni | Kivunge | Matemwe | Mchenza Shauri | Mkokotoni Unguja | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Muwange | Nungwi | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Tumbatu Gomani | Tumbatu Jongowe | Uvivini