Wilaya ya Uvinza ni wilaya mojawapo kati ya 8 za mkoa wa Kigoma, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 yenye postikodi namba 47600. Maeneo ya Uvinza yalitengwa na wilaya ya Kigoma.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na wakazi wapatao 383,640 waishio humo.[1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 458,353[2].

Makao makuu ya wilaya yako Lugufu,[3] iliko takriban km 30 upande wa mashariki-kaskazini kutoka Uvinza.

Marejeo

hariri
  1. Sensa ya 2012, Kigoma Region - Uvinza District Council
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=36298 Archived 22 Januari 2013 at the Wayback Machine. Upingamizi dhidi ya matumizi ya ardhi Lugufu
  Kata za Wilaya ya Uvinza - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Basanza | Buhingu | Herembe | Igalula | Ilagala | Itebula | Kalya | Kandaga | Kazuramimba | Mganza | Mtegowanoti | Mwakizega | Nguruka | Sigunga | Sunuka | Uvinza

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Uvinza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.