Wilker Henrique da Silva (maarufu kama Wilker, alizaliwa 26 Oktoba 1995) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye kwa sasa anachezea katika klabu ya Simba S.C. iliyopo nchini Tanzania katika ligi kuu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.