William Devane (amezaliwa tar. 5 Septemba 1937) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama James Heller kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24

William Devane

Devane kwenye filamu ya The Missiles of Oktoba mnamo 1974
Amezaliwa William Joseph Devane
5 Septemba 1937 (1937-09-05) (umri 86)
Albany, New York
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1967–hadi leo
Ndoa Eugenie Devane (1961–hadi leo)
Watoto 2

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Devane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.