James Heller ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na William Devane. Katika simulizi ya mfululizo huu, Heller kacheza kama Waziri wa Ulinzi wa Marekani. Ameonakana katika msimu wa 4,5, na 6 tu, basi.

James Heller
muhusika wa 24

William Devane kama James Heller
Imechezwa na William Devane
Mionekano
4, 5, 6
Maelezo

Viungo vya Nje

hariri