William Meredith

William Morris Meredith Jr. (9 Januari 191930 Mei 2007) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1988 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Meredith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.