William Mganga Ngeleja (amezaliwa tar. 5 Oktoba 1967) ni mbunge wa jimbo la Sengerema katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Ngeleja

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu William Mganga Ngeleja (3 Julai 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.