Willie Rosario (alizaliwa 6 Mei 1924) ni mwanamuziki, mtunzi na kiongozi wa bendi ya muziki wa salsa. Anajulikana kama Mr. Afinique.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willie Rosario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.