Joseph Matthews "Wingy" Manone (13 Februari 19009 Julai 1982) alikuwa mpiga tarumbeta wa jazzi, mtunzi, mwimbaji, na kiongozi wa bendi kutoka Marekani.[1]

Marejeo

hariri
  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 1609. ISBN 0-85112-939-0.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wingy Manone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.