Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (kwa Kiingereza: Ministry of Defence and National Service) ni wizara ya serikali ya Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hiyo ipo Dodoma.
Marejeo
haririTazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |