Wolframi ni metali yenye namba atomia 74 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 189.84. Alama yake ni W. Wolframi ina kiwango cha kuyeyuka cha juu kabisa kati ya metali zote.

Wolframi (wolframium;
Kiing. Tungsten)
Punje za wolframi katika testitubu
Punje za wolframi katika testitubu
Jina la Elementi Wolframi (wolframium;
Kiing. Tungsten)
Alama W
Namba atomia 74
Mfululizo safu Metali ya mpito
Uzani atomia 183.84
Valensi 2, 8, 18, 32, 12, 2
Densiti 19.25 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 3695 K (3422 °C)
Kiwango cha kuchemka 5828 K (5555  °C)
Asilimia za ganda la dunia 6 · 10-3 %
Hali maada mango


Matumizi yake ni hasa kwa taa pia katika aloi za feleji.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolframi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.