Xbox One ni kifaa cha Xbox kilichotengenezwa na Microsoft. Xbox one ilitangazwa Mei 2013, ni mrithi wa Xbox 360 na aina ya tatu katika familia ya Xbox. Xbox one kwa mara ya kwanza ilitolewa Amerika ya Kaskazini, sehemu za Ulaya, Australia, na Amerika Kusini mnamo Novemba 2013 na katika Japan, China na nchi nyingine za Ulaya ilitolewa Septemba 2014.

Vifaa vya Xbox one
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Xbox One kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.