Yaa Avoe (alizaliwa 1 Julai 1982) ni mwanasoka wa kimataifa na mchezaji wa timu ya wanawake ya Ghana ambaye anacheza kama beki.[1]

Ni mwanachama wa timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa Ghana . Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2003 na Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007 . Katika ngazi ya klabu anachezea klabu ya Ash Town Ladies nchini Ghana. [2]

Marejeo hariri

  1. Yaa Name Meaning - Origin, Religion of Baby Girl Name Yaa (en). SchoolMyKids (2018-02-14). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  2. List of Players. FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA (2007). Jalada kutoka ya awali juu ya October 14, 2012. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yaa Avoe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.