Yassine El Fathaoui

Yassine El Fathaoui (alizaliwa 23 Machi 1982) ni mzaliwa wa Moroko lakini anashiriki mbio ndefu za Italia[1], na alikuwa sehemu ya timu ya riadha ya Italia kwa michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020[2]. Alimaliza katika mbio za marathon.

Marejeo hariri

  1. "Yassine EL FATHAOUI | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  2. "Giochi Olimpici, 76 azzurri a Tokyo". www.fidal.it (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yassine El Fathaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.