Yevhen Shakhov (alizaliwa 30 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Ukraine ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Lecce na Timu ya taifa ya Ukraine.

Huyu ni Yevhen Shakhov

Kazi ya klabu

hariri

Mnamo tarehe 29 Juni, 2019 alisaini mkataba na klabu ya ligi kuu ya Italia iitawayo Leece.

Kazi ya kimataifa

hariri

Alichaguliwa katika kikosi timu ya taifa katika mashindano ya Euro 2016.Aliitwa pia kwenye kikosi cha wachezaji 31 wa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2018 dhidi ya Iceland mnamo 5 Septemba 2016.

Mnamo 15 Novemba 2016, alifunga goli lake la kwanza akiwa na timu ya taifa ya Ukraine kwenye mchezo wa nyumbani wa marudiano ambao walishinda 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Serbia.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yevhen Shakhov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.