Yohane wa Pavia

Yohane wa Pavia (alifariki 825 hivi) anakumbukwa kama askofu wa 27 wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 813[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti.[2]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. St. John Catholic Online
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.