Yono Stanley Jilaoneka Kevela

Yono Stanley Jilaoneka Kevela (amezaliwa tar. 13 Desemba 1963) ni mbunge wa jimbo la Njombe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Yono Stanley Jilaoneka Kevela (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.