13 Desemba
tarehe
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Desemba ni siku ya 347 ya mwaka (ya 348 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 18.
Matukio
hariri- 1294 - Mtakatifu Papa Celestino V anajiuzulu ili arudi kuishi upwekeni baada ya kuwa Papa miezi mitano tu
Waliozaliwa
hariri- 1521 - Papa Sixtus V, O.F.M.
- 1890 - Marc Connelly, mwandishi kutoka Marekani
- 1923 - Philip Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 1927 - James Wright, mshairi kutoka Marekani
- 1929 - Christopher Plummer, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 1963 - Yono Stanley Jilaoneka Kevela, mwanasiasa wa Tanzania
- 1973 - Holly Marie Combs, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1976 - Rama Yade, mwanasiasa wa Ufaransa kutoka Senegal
- 1989 - Taylor Swift, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1124 - Papa Callixtus II
- 1466 - Donatello, mchongaji wa sanamu kutoka Italia
- 1930 - Fritz Pregl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923
- 1935 - Victor Grignard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 1955 - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 1998 - Norbert Zongo, mhariri wa gazeti nchini Burkina Faso, aliuawa
- 2010 - Remmy Ongala, mwanamuziki kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Lusia, Aristoni wa Roma, Antioko wa Sulcis, Eustrasi na wenzake, Judoki, Autberi, Otilia wa Hohenbourg, Petro Cho Hwa-so na wenzake n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |