You Are Not Alone
"You Are Not Alone" ni single ya pili ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya HIStory. Ilitolewa mnamo mwezi wa Agosti 1995. Wimbo umetungwa na R. Kelly kwa kufuatia hali ngumu yake ya kimaisha kwa kipindi hicho. Baada ya kutungua, baadaye akamtumia tepu ya mashairi na mwenendo mzima wa wimbo huu kwa Jackson, ambaye aliupenda wimbo huu na kuamua kushirikiana na Kelly ili kutayarisha wimbo huu.
“You Are Not Alone” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya HIStory - Past, Present and Future, Book I | |||||
Imetolewa | 15 Agosti 1995 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 5:45 (toleo la albamu) 4:36 (uharirio wa redio) 6:02 (toleo lililorefushwa) | ||||
Studio | Epic | ||||
Mtunzi | R. Kelly | ||||
Mtayarishaji | R. Kelly, Michael Jackson | ||||
Certification | Platinum (U.S.) | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Chati
haririChati (1995) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Singles Chart | 7 [1] |
Austrian Singles Chart | 2 [1] |
Belgian (Flanders) Singles Chart | 3 [1] |
Belgian (Wallonia) Singles Chart | 1 [1] |
Dutch Singles Chart | 6 [1] |
Finnish Singles Chart | 10 [1] |
French Singles Chart | 1 [1] |
Irish Singles Chart | 1 [2] |
Italian Singles Chart | 14 [1] |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 1 [1] |
Norwegian Singles Chart | 9 [1] |
Spanish Singles Chart | 1 [1] |
Swedish Singles Chart | 2 [1] |
Swiss Singles Chart | 1[3] |
UK Singles Chart | 1 [4] |
US Billboard Hot 100 | 1 [5] |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Danish Singles Chart | 33 [1] |
New Zealand Singles Chart | 12[6] |
Swiss Singles Chart | 16[3] |
UK Singles Chart | 35[7] |
Matunukio
haririNchi | Matunukio | Mauzo/Usafirishaji |
---|---|---|
Austria[8] | Gold | 20,000 |
France[9] | Gold | 250,000 |
Germany[10] | Gold | 250,000[11] |
New Zealand[12] | Gold | 7,500[13] |
Switzerland[14] | Gold | 25,000 |
United Kingdom[15] | Gold | 400,000 |
United States<ref name="riaa"> | Platinum | 1,000,000 |
Orodha ya Nyimbo
haririKanada na U.S.
- You Are Not Alone - 5:48
- You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
- You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
- Scream Louder (Flyte Tyme Remix) - 5:30
- MJ Megaremix - 10:33
Japan single
- You Are Not Alone - 5:48
- You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
- You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
- You Are Not Alone (R. Kelly Mix) - 6:23
- You Are Not Alone (Classic Club Mix) - 7:40
- You Are Not Alone (Jon B. Main Mix) - 6:55
- You Are Not Alone (Jon B. Padapella Mix) 6:55
Austria single
- You Are Not Alone - 5:48
- You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
- You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
- You Are Not Alone (Classic Club Mix) - 7:40
- You Are Not Alone (Jon B. Main Mix) - 6:55
- You Are Not Alone (Jon B. Padapella Mix) 6:55
- MJ Medley - 4:59
Tanbihi
hariri- ↑ 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 "M. Jackson & J. Jackson - You Are Not Alone (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2008-11-09.
- ↑ Irish Recording Music Association (24 Agosti 1995). "Irish Singles Chart (searchable database)". irishcharts.ie. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ George, p. 48
- ↑ "Artist Chart History - Michael Jackson". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 2008-11-05.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "New Zealand Singles Chart". RIANZ. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry (21 Desemba 1995). "Austrian certification (search)". ifpi.at. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ Syndicat national de l'édition phonographique (1995). "French certification". chartsinfrance.net. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry (1995). "German certification". musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry (1995). "Criteria" (PDF). musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ Recording Industry Association of New Zealand (2009). "New Zealand certification: Look at #1676 Monday 6 July 2009". rianz.org.nz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-07.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ Recording Industry Association of New Zealand (2009). "New Zealand Chart Facts". rianz.org.nz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-07.
- ↑ Hit Parade (1995). "Swiss certification". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
- ↑ British Phonographic Industry (1 Oktoba 1995). "U.K. certification". bpi.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-20. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
Marejeo
hariri- Brown, Jake (2004). Your Body's Calling Me. Amber Books Publishing. ISBN 0972751955.
- Campbell, Lisa (1995). Michael Jackson: The King of Pops Darkest Hour. Branden. ISBN 0828320039.
- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection. Sony BMG.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu You Are Not Alone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |