Yozgat
Yozgat (pia Yuzgat au Yuzgad, Kiarmenia: Յոզգաթ), zamani uliitwa Bozok ni mji uliopo nchini Uturuki. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Yozgat katika Kanda ya Anatolia ya Kati nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 113,614 of ambao wengine 73,930 wanaishi kati-kati ya mji wa Yozgat.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
- Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Yozgat, Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
Viungo vya Nje
hariri- District governor's official website (Kituruki)
- District municipality's official website Ilihifadhiwa 15 Februari 2013 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- A web portal of Yozgat (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yozgat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |