Yozgat ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Çorum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kırıkkale kwa upande wa magharibi, Kırşehir kwa upande wa kusini-magharibi, Nevşehir kwa upande kusini, Kayseri kwa upande wa kusini-mashariki, Sivas kwa upande wa mashariki, Tokat kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Amasya kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Yozgat.

Mkoa wa Yozgat
Maeneo ya Mkoa wa Yozgat nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 14,123 (km²)
Idadi ya Wakazi 727,394 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 66
Kodi ya eneo: 0354
Tovuti ya Gavana http://www.yozgat.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/yozgat

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Yozgat umegawanyika katika wilaya 14 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Yozgat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.