Yunis Abdelhamid
Yunis Abdelhamid (alizaliwa 28 Septemba 1987) ni mchezaji wa soka anayecheza kama beki katika klabu ya Ligue 1 ya Reims, pia ni nahiodha wa klabu hiyo.[1][2][3] Amezaliwa Ufaransa, alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Moroko kuanzia mwaka 2016 hadi 2020, akicheza mechi kumi na moja.[4]
Youth career | |||
---|---|---|---|
2005–2010 | AS Lattoise | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2010–2011 | AS Lattoise | ||
2011–2014 | Arles-Avignon | 95 | (6) |
2014–2016 | Valenciennes | 73 | (3) |
2016–2017 | Dijon | 18 | (0) |
2016–2017 | Dijon B | 4 | (1) |
2017– | Reims | 193 | (13) |
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
2016–2020 | Morocco | 11 | (0) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 04:47, 27 February 2023 (UTC). † Appearances (Goals). |
Kazi
haririBaada ya kumaliza mkataba na Valenciennes, Abdelhamid alijiunga na Dijon kwa mkataba wa miaka mitatu tarehe 15 Mei 2016.[5]
Abdulhamid alisaidia Reims kushinda 2017–18 Ligue 2 na kupanda daraja kuingia Ligue 1 kwa msimu wa 2018–19.[6]
Kimataifa
haririAbdulhamid alialikwa kwenye timu ya taifa ya Morocco katika mechi ya kirafiki dhidi ya Albania tarehe 1 Septemba 2016, lakini hakucheza.[7] Alicheza mechi yake rasmi ya kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya São Tomé na Príncipe katika kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.[8]
Heshima
haririReims
Marejeo
hariri- ↑ Yunis Abdelhamid (Reims) dans France Football: «En amateur, on peut manger le tajine de la maman» francefootball.fr
- ↑ D'autres extraits inédits de l'interview de Yunis Abdelhamid dans France Football: «Je ne me mets pas dans le top 3 des meilleurs défenseurs de L1» francefootball.fr
- ↑ "Yunis Abdelhamid: Impatient de relever ce super challenge! (kwa Kifaransa)", www.dfco fr, 1 Juni 2016.
- ↑ 65151 at National-Football-Teams.com
- ↑ "Transfert : Yunis Abdelhamid (Valenciennes) trois ans à Dijon", L'Equipe, 15 Mei 2016. (Kifaransa)
- ↑ "Ensemble, fêtons nos champions ! – Stade de Reims". 7 Mei 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
- ↑ Bakkali, Achraf. "Renard convoque un autre défenseur". Mountakhab.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
- ↑ Bakkali, Achraf. "Maroc 2–0 Sao Tomé: Une victoire et des satisfactions". Mountakhab.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
Viungo vya nje
hariri- Yunis Abdelhamid profile katika foot-national.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yunis Abdelhamid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |