Zacatecas (jimbo)
Zacatecas ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa Mexiko ya kati-kaskazini ya nchi. Mji mkuu ni Zacatecas na Fresnillo ni mji mkubwa. Imepakana na Coahuila, San Luis Potosí, Aguascalientes, Guanajuato, Jalisco, Nayarit na Durango.
Jimbo lina wakazi wapatao 1,367,692 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 73,252.
Jina la Zacatecas ni ya Kinahuatl, maana yake ni majani.
Gavana wa jimbo ni Amalia García Medina.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji Mikubwa
haririViungo vya Nje
hariri- (Kihispania) Estado de Zacatecas Sitio oficial Ilihifadhiwa 29 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zacatecas (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |