Durango (jimbo)
Durango ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa Mexico ya kati-magharibi ya nchi. Mji mkuu ni mkubwa ni Durango. Jimbo lina wakazi wapatao 1,509,117 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 123,181.
Sehemu kubwa ya eneo lake ni milima na misitu tu. Imepakana na Chihuahua, Coahuila, Zacatecas, Nayarit na Sinaloa. Mto Nazas ni mto muhimu.
Gavana wa jimbo ni Ismael Hernández Deras.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji Mikubwa
hariri- Durango (463,830)
- Gómez Palacio (239,842)
- Lerdo (71 373)
Viungo vya Nje
hariri- (Kihispania) Estado de Durango Sitio oficial Ilihifadhiwa 12 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Durango (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |