Zachary Lucky
Zachary Lucky (alizaliwa 4 Januari 1989) ni mwandishi wa nyimbo, msanii wa muziki wa Folk na muziki wa country kutoka Kanada anayeishi Saskatoon, Saskatchewan. Yeye ni mjukuu wa mtaalamu wa muziki wa country wa Kanada, Smilin Johnny Lucky.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Zachary Lucky Interview". Ominocity.com, May 25, 2011.
- ↑ “Roots Series: Zachary Lucky with Mandy Ringdal”, November 14th, 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zachary Lucky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |