Peter Zachary Gonzalez (anajulikana kitaalamu kwa jina la Zack Peter, 15 Juni 1993) ni mchekeshaji, mtangazaji wa podikasti, mwandishi, na mtetezi kutoka Marekani.

Peter Zachary Gonzalez

Alijulikana zaidi kwa kazi yake ya utetezi wa uhamasishaji kuhusu usonji. Ameandika vitabu vinne na ameandika makala kwa majukwaa maarufu kama PopSugar na Men's Health. [1]

Marejeo

hariri
  1. "Zack Peter Instagram Account". www.instagram.com. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zack Peter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.