Zaynab Matitu Vulu
Zaynab Matitu Vulu (amezaliwa mnamo mwaka 1969) katika kijiji cha Mlongazi wilayani Kisarawe mkoani Pwani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |