Ziwa Kasuku

ziwa la Jimhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Ziwa Kasuku ni ziwa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, lililoko katikati mwa Mkoa wa Maniema, kusini magharibi mwa Kindu.

Mto Kasuku, ambao ni tawimto la Kongo, ndio uliolifanyiza.

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kasuku kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.