Ziwa Kundi
Ziwa Kundi (hata katika lugha nyingine linatumika jina hilo la Kiswahili) linapatikana katika Darfur Kusini, nchini Sudan, Afrika mita 460 juu ya UB[1].
Ni ziwa la kudumu[2] kwenye mdomo wa mto Ibrah, karibu na korongo la mto Bahr al-Arab.[3]
Ziwa linaenea kwa square kilometre 20 (sq mi 7.7) hectare 1 200 (acre 3 000) hadi hectare 100–200 (acre 250–490) kadiri ya wingi wa maji.[4]
Kina chake ni mita 2-3 tu.
Tanbihi
hariri- ↑ "SD010 Lake Kundi". birdlife.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-06. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2.8 Sudan" (PDF). ramsar.wetlands.org. uk. 3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Dumont, Henri J. (1 Juni 2009). The Nile: Origin, Environments, Limnology and Human Use. Springer. ku. 480–. ISBN 978-1-4020-9725-6. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2011.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hughes, R. H.; Hughes, J. S. (1992). A directory of African wetlands. IUCN. ku. 233–. ISBN 978-2-88032-949-5. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2011.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
10°30′N 25°16′E / 10.500°N 25.267°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |