Ziwa Tshangalele ni ziwa bandia la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na Likasi, eneo la Katanga.

Ziwa hilo linalishwa na Mto Lufira. Maji ya mto huo hutumika katika kituo cha umeme cha Mwadingusha.

Bandari ya nyumbani ya ziwa hilo ni Kapolowe.

Aina kuu za samaki zilizomo katika ziwa ni Tilapia, Serranochromis na Clarias.


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Tshangalele kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.