Ziwa la Garda

Ziwa la Garda (kwa Kiitalia: Lago di Garda) ndilo ziwa kubwa zaidi la Italia. Liko kati ya mikoa ya Lombardia, Veneto na Trentino-Alto Adige(Italia Kaskazini).

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa la Garda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.