Lombardia ni mkoa wa Italia. Ndio mkoa wenye wakazi wengi zaidi na unaoongoza kwa utajiri kati ya mikoa yote ya Ulaya.

Muonekano wa Milano, mji mkuu wa mkoa wa Lombardia kutoka juu ya kanisa kuu.
Bendera ya Lombardia.
Bendera ya Lombardia.
Mahali pa Lombardia katika Italia

Mji mkuu wake ni Milano.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri


 
Mikoa ya Italia
 
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lombardia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.