Zizi ni mahali wanapokaa wanyama wanaofugwa nyumbani kama vile ng'ombe na kuku.

Zizi kubwa la kisasa.

Namna ya kulitengeneza inategemea aina ya mifugo, lakini pia mazingira na utamaduni.