Zylfije Bajramaj (alizaliwa 2 Oktoba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu mwenye asili ya Kosovo lakini anayecheza kwa timu ya taifa ya wanawake ya Albania. Anacheza kama mshambuliaji.

Bajramaj alikuwa mwanachama wa kikosi cha kitaifa wakati wa mzunguko wa kufuzu wa Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2019.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Women World Cup Qualifiers Europe 2017/2018 » Teams (Albania)". WorldFootball.net. Iliwekwa mnamo 29 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zylfije Bajramaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.