Álex Grimaldo

Mchezaji wa chama cha soka cha Uhispania

Alejandro Grimaldo García (alizaliwa 20 Septemba 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Hispania.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Álex Grimaldo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.