Latoti
(Elekezwa kutoka Île de la Tortue)
Latoti ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti.
Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 180 na wakazi 25,936.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Latoti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |