21 Questions
"21 Questions" ni wimbo ulioimbwa na rapa 50 Cent. Nyimbo pia imemshirikisha rapa mwingine Bw. Nate Dogg, ambaye ametia vionjo kadhaa katika nyimbo. Sana-sana katika kiitikio, lakini katika kutaja wimbo huu haitajwi kama wimbo umeimbwa na 50 Cent na Nate Dogg, yeye aliuza sura tu.
“21 Questions” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 50 Cent kutoka katika albamu ya Get Rich or Die Tryin' | |||||
Imetolewa | 29 Aprili 2003 | ||||
Muundo | single 12 | ||||
Imerekodiwa | 2002 | ||||
Aina | Pop Rap, Hip hop | ||||
Studio | Aftermath, Interscope, Shady | ||||
Mtunzi | 50 Cent K. Risto J. Cameron V. Cameron | ||||
Mtayarishaji | Dirty Swift | ||||
Certification | Platinum (ARIA) | ||||
Mwenendo wa single za 50 Cent | |||||
| |||||
Get Rich or Die Tryin' track listing | |||||
| |||||
Single za Nate Dogg na tarehe zake | |||||
"Gangsta Nation" (2003) |
"21 Questions" (2003) |
"The Set Up" (2004) |
Nyimbo ilitungwa na mwenyewe 50 Cent, K. Risto, J. Cameron, na V. Cameron kwa ajili ya albmu ya 50 Cent ya Get Rich or Die Tryin' ya mwaka wa 2003. Single ilitoka mnamo mwaka wa 2003 ikiwa kama single ya pili kutoka katika albamu hiyo, na ikawa single yake ya pili kushika nafasi ya kwanza katika nchi ya Marekani baaada ya "In Da Club".
Na ikafanikiwa kushika nafasi ya sita katika chati za single za Uingereza, wakati "In Da Club" ilikuwa nafasi ya 23, ikampa heshma kubwa na kufanya kuwa na single kwa wakati katika 30 bora za UK. Nyimbo ilitayarishwa na Bw. Dirty Swift na kufuata mfano wa nyimbo ya Barry White ya "It's Only Love Doing Its Thing.
Orodha ya nyimbo
hariri- Single za CD
- 21 Questions (toleo kwa ajili ya albamu)
- Soldier (50 Cent na G-Unit wamefanya michano)
- 21 Questions (moja kwa moja kutoka New York)
- 21 Questions (video yake)
Remix yake
haririRemix yake ilitolewa ikiwa imemshirikisha mwimbaji wa Kimarekani wa R&B Bi. Monica.
Wahusika na ukamilishaji wa nyimbo
hariri- Mtayarishaji: Dirty Swift
- Kuiweka sawa na: Dr. Dre
- Imerekodiwa na: Sha Money XL na Maurico "Veto" Iragorri
- Imeandaliwa na: Carlise Young
- Imesaidiwa na: Ruben Rivera
Chati
haririChati zake kwa mwaka wa (2003)[1][2][3] | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 4 |
Austria Singles Chart | 39 |
Belgium Singles Chart | 37 |
Canadian Singles Chart | 5 |
Dutch Singles Chart | 8 |
Denmark Singles Chart | 18 |
Finland Singles Chart | 13 |
France Singles Chart | 58 |
Germany Singles Chart | 34 |
Ireland Singles Chart | 11 |
New Zealand Singles Chart | 8 |
Norway Singles Chart | 15 |
Simland SimBoard Hot 30 | 2 |
Swedish Singles Chart | 34 |
Swiss Singles Chart | 14 |
UK Singles Chart | 4 |
United World Chart | 10 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Top 40 Mainstream | 6 |
U.S. Billboard Top 40 Tracks | 5 |
U.S. Billboard Rhythmic Top 40 | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 1 |
U.S. Billboard Hot Rap Tracks | 1 |
Marejeo
hariri- ↑ 50 Cent and Nate Dogg - 21 Questions. aCharts.us. Accessed 7 Julai 2007
- ↑ Billboard Singles. All Music Guide. Accessed 7 Julai 2007.
- ↑ 50 Cent 21 Questions @ Top40-Charts.com. Top40-Charts.com. Accessed 7 Julai 2007.