"In da Club" ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na rapa 50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo ulitayarishwa na Dr. Dre kwa ushirikiano wa Mike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. Wimbo ulitolewa mwishoni kabisa mwa mwaka wa 2002 ukiwa kama wimbo kiongozi wa albamu na ulipata sifa nzuri katika medani ya muziki.

“In da Club”
“In da Club” cover
Single ya 50 Cent
kutoka katika albamu ya Get Rich or Die Tryin'
Imetolewa 19 Novemb, 2002
Muundo 12" single, CD
Imerekodiwa 2002
Aina Hip hop
Urefu 3:13
Studio Aftermath, Interscope, Shady
Mtayarishaji Dr. Dre, Mike Elizondo
Certification Gold (RIAA)
2× Platinum (ARIA)
Mwenendo wa single za 50 Cent
"Wanksta"
(2002)
"In da Club"
(2002)
"21 Questions"
(2003)
[[Image:{{{Faili la sauti}}}|180px|center|noicon]][[:Image:{{{Faili la sauti}}}|file info]] · help

"In da Club" umekuwa wimbo wa kwanza wa 50 Cent na ilikuwa single namba moja katika miaka ya 2003 na ulikuwa wimbo mashuhuri Marekani na kuingia katika tano bora za nchi za Ulaya. Katika sherehe za ugawaji wa Tuzo za Grammy za 46, ilipata kupigiwa kura katika kundi la Nyimbo Bora za Msanii wa Kiume - Solo na Wimbo Bora wa Rap.

Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "In da Club" (clean)
  2. "In da Club" (explicit)
  3. "Wanksta"
  • Australian CD single[2]
  1. "In da Club"
  2. "Wanksta"
  3. "In da Club" (instrumental)
  4. "In da Club" (multimedia track)
  5. "Wanksta" (multimedia track)

Chati zake

hariri
Chart (2003)[3][4][5] Peak
position
Australian Singles Chart 1
Austrian Singles Chart 3
Belgian Singles Chart 2
Canadian Singles Chart 1
Dutch Singles Chart 2
Danish Singles Chart 1
Eurochart Hot 100 1
Finnish Singles Chart 5
French Singles Chart 16
German Singles Chart 1
Greek Singles Chart 3
Irish Singles Chart 1
New Zealand Singles Chart 1
Norwegian Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 4
Swiss Singles Chart 1
UK Singles Chart 3
U.S. Billboard Hot 100 1
U.S. Billboard Top 40 Tracks 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 1
U.S. Billboard Hot Rap Tracks 1

Marejeo

hariri
  1. 50 Cent - In da Club. Discogs. Accessed 6 Julai 2007.
  2. In da Club Australia CD. Billboard. Accessed 6 Julai 2007.
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named aCharts
  4. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named AMG
  5. 50 Cent In da Club @ Top40-Charts.com. Top40-Charts.com. Accessed 5 Julai 2007.

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu In da Club kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.