In da Club
(Elekezwa kutoka In Da Club)
"In da Club" ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na rapa 50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo ulitayarishwa na Dr. Dre kwa ushirikiano wa Mike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. Wimbo ulitolewa mwishoni kabisa mwa mwaka wa 2002 ukiwa kama wimbo kiongozi wa albamu na ulipata sifa nzuri katika medani ya muziki.
“In da Club” | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Single ya 50 Cent kutoka katika albamu ya Get Rich or Die Tryin' | ||||||||
Imetolewa | 19 Novemb, 2002 | |||||||
Muundo | 12" single, CD | |||||||
Imerekodiwa | 2002 | |||||||
Aina | Hip hop | |||||||
Urefu | 3:13 | |||||||
Studio | Aftermath, Interscope, Shady | |||||||
Mtayarishaji | Dr. Dre, Mike Elizondo | |||||||
Certification | Gold (RIAA) 2× Platinum (ARIA) | |||||||
Mwenendo wa single za 50 Cent | ||||||||
|
"In da Club" umekuwa wimbo wa kwanza wa 50 Cent na ilikuwa single namba moja katika miaka ya 2003 na ulikuwa wimbo mashuhuri Marekani na kuingia katika tano bora za nchi za Ulaya. Katika sherehe za ugawaji wa Tuzo za Grammy za 46, ilipata kupigiwa kura katika kundi la Nyimbo Bora za Msanii wa Kiume - Solo na Wimbo Bora wa Rap.
Orodha ya nyimbo
hariri- CD single[1]
- "In da Club" (clean)
- "In da Club" (explicit)
- "Wanksta"
- Australian CD single[2]
- "In da Club"
- "Wanksta"
- "In da Club" (instrumental)
- "In da Club" (multimedia track)
- "Wanksta" (multimedia track)
Chati zake
haririChart (2003)[3][4][5] | Peak position |
---|---|
Australian Singles Chart | 1 |
Austrian Singles Chart | 3 |
Belgian Singles Chart | 2 |
Canadian Singles Chart | 1 |
Dutch Singles Chart | 2 |
Danish Singles Chart | 1 |
Eurochart Hot 100 | 1 |
Finnish Singles Chart | 5 |
French Singles Chart | 16 |
German Singles Chart | 1 |
Greek Singles Chart | 3 |
Irish Singles Chart | 1 |
New Zealand Singles Chart | 1 |
Norwegian Singles Chart | 3 |
Swedish Singles Chart | 4 |
Swiss Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart | 3 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Top 40 Tracks | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 1 |
U.S. Billboard Hot Rap Tracks | 1 |
Marejeo
hariri- ↑ 50 Cent - In da Club. Discogs. Accessed 6 Julai 2007.
- ↑ In da Club Australia CD. Billboard. Accessed 6 Julai 2007.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedaCharts
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedAMG
- ↑ 50 Cent In da Club @ Top40-Charts.com. Top40-Charts.com. Accessed 5 Julai 2007.
Viungo vya Nje
hariri
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu In da Club kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |