Alliance for Change and Transparency
(Elekezwa kutoka ACT Wazalendo)
Alliance for Change and Transparency (ACT) (kwa Kiswahili:Umoja kwa Mabadiliko na Uwazi) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania.[1] Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014.[2]
Historia
haririChama kilianzishwa mwaka wa 2014.
Kimenuia kurudisha sera za Ujamaa. Mbunge wa zamani wa upinzani Zitto Kabwe amejiunga na chama hicho mnamo Machi 2015 kufuatia kufukuzwa kwake katika chama cha Chadema.[3]
Chaguzi
haririMwaka 2015 chama kilipanga kuchukua angalau majimbo 10 na kukusanya asilimia 15 ya jumla ya kura zitakazopigwa katika uchaguzi mkuu.
Marejeo
hariri- ↑ Mwangonde, Henry. "TZ gets new political party, pledges wider democracy", 4 March 2014. Retrieved on 2014-07-21. Archived from the original on 2014-03-07.
- ↑ "New Political Party Enters Scene With 'Mature Politics' Pledge", 6 May 2014. Retrieved on 2014-07-21. Archived from the original on 2014-07-28.
- ↑ Kabendera, Eric. "Return of Ujamaa as Zitto Kabwe defects to new party", 28 March 2015. Retrieved on 2015-04-10. Archived from the original on 2015-04-03.