Upinzani katika siasa unatokana na vyama vya kisiasa au makundi mengine ambayo hayakubali itikadi au maamuzi ya serikali na chama tawala.

Simama katika Upinzani (Boston, Marekani).

Upinzani unakuwa na kiwango tofauti kadiri ya tofauti zilizojitokeza na hali ya nchi kuwa ya kidemokrasia au ya kiimla[1].

Tanbihi hariri

  1. Blondel, J (1997). "Political opposition in the contemporary world". Government and Opposition 32 (4): 462–486. doi:10.1111/j.1477-7053.1997.tb00441.x. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-05.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)