AC Milan
AC Milan ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa na Herbet Kilpin, Alfred Edwards, tarehe 16 Desemba 1899.
A.C. Milan
Kuanzishwa | 16 Desemba 1899 |
---|---|
Jina rasmi | Associazione Calcio Milan |
Nickname | I Rossoneri |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameitwa baada ya | Milano |
Imeanzishwa na | Alfred Edwards, Herbert Kilpin |
Mwenyekiti | Paolo Scaroni |
Board member | Carlo Biotti |
Nchi | Italia |
Kocha mkuu | Paulo Fonseca |
Ligi | Seria A |
Mahali pa nyumbani | San Siro |
Fomu ya kisheria | società per azioni |
Inamilikiwa na | Elliott Management Corporation |
Has subsidiary | Milan Futuro |
Mmiliki | Milanello, Milan TV, Centro Sportivo Vismara, Casa Milan, M-I Stadio Srl |
Eneo la makao makuu | Milano |
Official app | AC Milan Official App |
Tovuti | https://www.acmilan.com/ |
Historia ya mada | History of A.C. Milan |
Victory | 2006–07 UEFA Champions League, 2002–03 UEFA Champions League, 1993–94 UEFA Champions League, 1989–90 European Cup, 1988–89 European Cup |
Msambazaji wa Vifaa | Puma |
Rangi inayotambulika | nyekundu, Nyeusi, rangi nyeupe |
Jamii ya washiriki | Category:AC Milan players |
Timu hii itabakia katika historia ya timu kubwa duniani kwa kuwa imeshachukua makombe kadhaa, likiwemo kombe la ligi ya mabingwa Ulaya ya UEFA wakiwa wamelichukua mara nane na kuwa timu ya pili kwa kupata kombe hilo mara nyingi zaidi.
Uwanja wake wa nyumbani unaitwa San Siro.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu AC Milan kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |