Aaron Brown (mwanariadha)

Aaron Brown (alizaliwa 27 Mei 1992) ni mwanariadha Mkanada aliyebobea katika mbio za mita 100 na mita 200. Ni mshindi mara mbili wa medali za Michezo ya Olimpiki kama sehemu ya timu ya watu wanne kwa mita 100 mwaka 2016 na 2020 katika michezo ya olimpiki majira ya joto.

Aaron Brown
Aaron Brown

Brown alishinda medali ya shaba kama sehemu ya timu hiyo mwaka 2013 na mwaka 2015 ubingwa wa riadha duniani. Binafsi ni mshindi wa medali ya fedha katika jumuia ya watu mwaka 2018 kwenye mbizo za mita 200. Pia ameshinda tuzo mbali mbali akiwa mdogo kwenye kazi hiyo.[1]

Marejeo hariri

  1. "Beach Metro Community News – The Beach's source for news since 1972". Beach Metro Community News (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-01-03. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aaron Brown (mwanariadha) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.