Abbas Zuberi Mtemvu

Mbunge wa Tanzania

Abbas Zuberi Mtemvu (alizaliwa 1 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Temeke (Mkoa wa Dar es Salaam) katika bunge la taifa la Tanzania tangu mwaka 2005.[1] Anatokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM).

Abbas Zuberi Mtemvu ni mmoja wa wanasiasa tajiri na anayetajwa kama maarufu. Kulingana na utafiti wa Forbes juu ya biashara zake, thamani ya mali zake ni takribani Dola za Marekani milioni 1.5.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Abbas Zubeir Mtemvu". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.