Wilaya ya Temeke

(Elekezwa kutoka Temeke)
Mahali pa Temeke (kijani) katika mkoa wa Dar es Salaam.

Wilaya ya Temeke ni wilaya ya Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000[1].Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1].


MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania  

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibada | Kiburugwa | Kigamboni | Kijichi | Kilakala (Temeke) | Kimbiji | Kisarawe II | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mji Mwema | Mtoni | Pemba Mnazi | Samangira | Sandali | Tandika | Temeke (kata) | Toangoma | Tungi | Vijibweni | Yombo Vituka


  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf